Share

Bunge Kuanza Kutumia Maandishi Ya Nukta Nundu Na Lugha Ya Alama

Share This:

Spika wa bunge la jamhuri ya mungano wa Tanzania Job Ndugai amesema bunge linatarajiwa kuanzisha utaratibu wa kutumia maandishi ya nukta nundu na lugha za alama ili kuwafikia wananchi wenye mahitaji maalumu.

Leave a Comment