Share

Bunge la Tanzania na matumizi ya Tablet

Share This:

Wabunge nchini Tanzania wameanza kutumia Tablet kwa nia ya kurahisisha kazi zao za bunge. Hii ni sehemu ya mkakati wa serikali kupunguza gharama pamoja na kutunza mazingira. Zaidi tazama vidio hii iliyozumwa na Yakub Talib. Kurunzi 22.11.2019

Leave a Comment