Share

Burundi yaikomalia mahakama ya ICC

Share This:

Burundi yasema haitatoa ushirikiano kwa mahakama ya ICC ambayo hapo jana ilipata idhini ya kuchunguza uhalifu wa kibinadamu nchini humo, mzozo kati ya Iran na Saudi Arabia kuhusu Lebanon wazidi kuchacha, na Spika wa Bunge la Catalonia lililovunjwa alala mahabusu. Ni Papo kwa Papo.

Leave a Comment