Share

Calissah ahamia kwenye masumbwi aikacha Mitindo

Share This:

Mwanamitindo Calissah ametangaza mwaka huu kuachana na kazi ya mitindo na kuanza kazi ya Masumbwi kwani amekuwa akitamani kuingia kwenye ndondi na amekiri kuwa hata Baba yake alishawahi kucheza masumbwi.

Leave a Comment