Uteuzi wa mgombea urais Ukawa waanza kupishana kauli.
Permalink

Uteuzi wa mgombea urais Ukawa waanza kupishana kauli.

Hali ndani ya umoja wa katiba ya wananchi UKAWA inatajwa kuanza kuwa tete huku suala…

Continue Reading →

Mgombea urais kupitia CCM Dkt Magufuli apokelewa kwa kishindo na wananchi jijini DSM.
Permalink

Mgombea urais kupitia CCM Dkt Magufuli apokelewa kwa kishindo na wananchi jijini DSM.

Mgombea urasi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiambatana na…

Continue Reading →

Wanafunzi wa KIU waandamana mpaka TCU kushinikizwa tume kukifunga chuo hicho.
Permalink

Wanafunzi wa KIU waandamana mpaka TCU kushinikizwa tume kukifunga chuo hicho.

Zaidi ya wanafunzi miambili wa sayansi ya afya na taaluma za afya katika chuo kikuu…

Continue Reading →

Watu 7 wameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi katika kituo cha polisi cha Staki Shari.
Permalink

Watu 7 wameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi katika kituo cha polisi cha Staki Shari.

Watu saba wameuwawa kwa kupigwa risasi miongoni mwao askari polisi wanne, mtuhumiwa mmoja pamoja na…

Continue Reading →

Baada ya wananchi kuchoma moto kituo cha Polisi Bunju hatimaye Matuta yaanza kujengwa.
Permalink

Baada ya wananchi kuchoma moto kituo cha Polisi Bunju hatimaye Matuta yaanza kujengwa.

Siku moja baada ya kituo cha polisi cha Bunju jijini Dar es Salaam kuchomwa moto…

Continue Reading →

Wakazi wa Bunju wamevamia kituo cha polisi na kukichoma moto baada ya kugongwa mwanafunzi.
Permalink

Wakazi wa Bunju wamevamia kituo cha polisi na kukichoma moto baada ya kugongwa mwanafunzi.

Wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira kali wamevamia kituo cha polisi cha Bunju jijini Dar es…

Continue Reading →

Watanzania wametakiwa kutochagua viongozi wenye doa la rushwa na uchu wa madaraka.
Permalink

Watanzania wametakiwa kutochagua viongozi wenye doa la rushwa na uchu wa madaraka.

Watanzania wametakiwa kuhakisha kuwa katika kipindi hiki ambacho taifa linafanya uchaguzi mkuu wanahakikisha kuwa hawawachagui…

Continue Reading →

Uongozi wa juu TBL wazuru vyombo vya habari vya IPP.
Permalink

Uongozi wa juu TBL wazuru vyombo vya habari vya IPP.

Jopo la uongozi wa kampuni ya bia Tanzania TBL umetembelea vyombo vya habari vya ITV…

Continue Reading →

Watanzania wanahaki ya kuwezeshwa kwa upendeleo ili watumie fursa kujikwamua kiuchumi.
Permalink

Watanzania wanahaki ya kuwezeshwa kwa upendeleo ili watumie fursa kujikwamua kiuchumi.

Watanzania wana haki ya kuwezeshwa tena kwa upendeleo maalum ili watumie fursa zilizopo na uwepo…

Continue Reading →

Tanzania yaadhimisha miaka 50 ya ushirikiano na benki ya dunia.
Permalink

Tanzania yaadhimisha miaka 50 ya ushirikiano na benki ya dunia.

Rais Jakaya Kikwete ameupongeza ushirikiano wa miaka 50 kati ya Tanzania na Benki ya Dunia…

Continue Reading →