Serikali kufanya uchunguzi wa kauli ya askari wanyamapori kuwa uhai wa Tembo ni bora kuliko wa watu.
Permalink

Serikali kufanya uchunguzi wa kauli ya askari wanyamapori kuwa uhai wa Tembo ni bora kuliko wa watu.

Serikali imeagiza uchunguzi kufanyika dhidi ya kauli isiyofaa ya askari wanyamapori dhidi ya uhai wa…

Continue Reading →

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA, Goodluck Ole Medeye amehamia UDP na kukabidhiwa kadi ya uanachama.
Permalink

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA, Goodluck Ole Medeye amehamia UDP na kukabidhiwa kadi ya uanachama.

Aliyewahi kugombea nafasi ya spika kupitia umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Goodlack Ole Medeye…

Continue Reading →

Mwenyekiti wa (CHADEMA)Mh.Mbowe na viongozi 7 wa chama hicho wakamatwa na kuhojiwa na Polisi,Mwanza
Permalink

Mwenyekiti wa (CHADEMA)Mh.Mbowe na viongozi 7 wa chama hicho wakamatwa na kuhojiwa na Polisi,Mwanza

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa kambi rasmi…

Continue Reading →

Waziri mkuu amewataka wadau wote wa elimu kufanya tatizo la madawati nchini kuwa historia.
Permalink

Waziri mkuu amewataka wadau wote wa elimu kufanya tatizo la madawati nchini kuwa historia.

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wadau wote wa elimu kufanya tatizo la madawati nchini kuwa…

Continue Reading →

Wanafunzi wafundishana wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni baada ya walimu kuacha kazi.
Permalink

Wanafunzi wafundishana wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni baada ya walimu kuacha kazi.

Wakazi wa kijiji cha Manga kilichopo kata ya Mkata wilayani Handeni wameiomba serikali kuingilia kati…

Continue Reading →

Waziri wa ardhi Mhe.Lukuvi amerejesha hekari elfu 9 kwa wananchi wa Ulanga mkoani Morogoro.
Permalink

Waziri wa ardhi Mhe.Lukuvi amerejesha hekari elfu 9 kwa wananchi wa Ulanga mkoani Morogoro.

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mhe.Wiliamu Lukuvi ametwaa hekari elfu 9 kati…

Continue Reading →

CHADEMA yafungua kesi ya madai mahakama ya Mwanza kupinga amri ya polisi kuzuia mikutano ya hadhara.
Permalink

CHADEMA yafungua kesi ya madai mahakama ya Mwanza kupinga amri ya polisi kuzuia mikutano ya hadhara.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), kimefungua kesi ya madai mahakama kuu kanda…

Continue Reading →

Rais Magufuli awaapisha Jaji Kiongozi na Jaji Mahakama ya Rufaa Ikulu Dar es Salaam.
Permalink

Rais Magufuli awaapisha Jaji Kiongozi na Jaji Mahakama ya Rufaa Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Jaji Ferdinand Wambali…

Continue Reading →

Kamati ya bunge ya bajeti imeishutumu serikali kwa kupuuza ushauri wake.
Permalink

Kamati ya bunge ya bajeti imeishutumu serikali kwa kupuuza ushauri wake.

Kamati ya bunge ya bajeti imeishutumu serikali kuwa imekuwa haiiamini na kwa kiasi kikubwa katika…

Continue Reading →

Baadhi ya wasomi na wanauchumi pamoja na wananchi waonyesha hisia tofauti juu ya bajeti.
Permalink

Baadhi ya wasomi na wanauchumi pamoja na wananchi waonyesha hisia tofauti juu ya bajeti.

Siku moja baada ya kuwasilishwa Bungeni bajeti ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano…

Continue Reading →