Waziri Prof Makame Mbarawa ameitaka TCRA kukomesha wizi wa mitandao.
Permalink

Waziri Prof Makame Mbarawa ameitaka TCRA kukomesha wizi wa mitandao.

Waziri wa mawasiliano na uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameitaka bodi mpya ya mamlaka ya mawssiliano…

Continue Reading →

Waziri Kairuki amtaka mkurugenzi mkuu wa TASAF kuwasimamisha kazi wafanyakazi 111.
Permalink

Waziri Kairuki amtaka mkurugenzi mkuu wa TASAF kuwasimamisha kazi wafanyakazi 111.

Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Angellah…

Continue Reading →

Rais Magufuli aagiza kusitishwa utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa “Machinga” mkoani Mwanza.
Permalink

Rais Magufuli aagiza kusitishwa utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa “Machinga” mkoani Mwanza.

Rais John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri na Katibu Mkuu (TAMISEMI) juu ya kusitisha mara…

Continue Reading →

AFYA YA JAMII UPIMAJI SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA MATITI – MWANZA
Permalink
KUMUHUDUMIA ALIYEKUNYWA SUMU  ITV HUDMA YA KWA KWANZA
Permalink
Watumiaji wa barabara ya Siwa eneo la viwanda Mikocheni DSM wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo
Permalink

Watumiaji wa barabara ya Siwa eneo la viwanda Mikocheni DSM wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo

Watumiaji wa barabara ya Siwa eneo la viwanda Mikocheni jijini Dar es Salaam wamelalamikia ubovu…

Continue Reading →

Serikali kuagiza ndege nyingine nne zikiwemo kubwa za kufanya safari za kimataifa.
Permalink

Serikali kuagiza ndege nyingine nne zikiwemo kubwa za kufanya safari za kimataifa.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa masoko ya Afrika…

Continue Reading →

Waziri Mhongo azitaka nchi zinazoendelea Afrika kuongeza uwezo wa upatikanaji wa nishati ya umeme.
Permalink

Waziri Mhongo azitaka nchi zinazoendelea Afrika kuongeza uwezo wa upatikanaji wa nishati ya umeme.

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mhongo amezitaka nchi zinazoendelea barani Afrika kuongeza uwezo…

Continue Reading →

TRA yakamata shehena ya mafuta ya magendo bahari ya Hindi.
Permalink

TRA yakamata shehena ya mafuta ya magendo bahari ya Hindi.

Mamlaka ya mapato nchini TRA kwa kushirikiana na jeshi la wananchi wamefanikiwa kukamata jahazi mbili…

Continue Reading →

Waziri Dkt. Mwakyembe asema ubadhilifu,wizi,rushwa na ufisadi wachangia Kudidimiza uchumi.
Permalink

Waziri Dkt. Mwakyembe asema ubadhilifu,wizi,rushwa na ufisadi wachangia Kudidimiza uchumi.

Waziri wa katiba na sheria Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema ubadhilifu, wizi, rushwa na ufisadi…

Continue Reading →