TFDA kushirikiana na viongozi wa mkoa wa DSM wamefanya ukaguzi katika machinjio manne ya Ng`ombe,
Permalink

TFDA kushirikiana na viongozi wa mkoa wa DSM wamefanya ukaguzi katika machinjio manne ya Ng`ombe,

Mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam…

Continue Reading →

CCBRT imesaidia kinamama wenye tatizo la Fistula chini ya elfu moja kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Permalink

CCBRT imesaidia kinamama wenye tatizo la Fistula chini ya elfu moja kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Licha ya kampeni ya kitaifa ya kuibua na kutoa tiba bure kwa kina mama wenye…

Continue Reading →

Watu wenye ulemavu wafunga barabara wakipinga kuvunjiwa meza zao za biashara.
Permalink

Watu wenye ulemavu wafunga barabara wakipinga kuvunjiwa meza zao za biashara.

Walemavu wanaofanya biashara katika soko la Karume Mchikichini wamelazimika kulala katika makutano ya barabara ya…

Continue Reading →

Miswada ya huduma za vyombo vya habari isiporekebishwa itazua migogoro.
Permalink

Miswada ya huduma za vyombo vya habari isiporekebishwa itazua migogoro.

Serikali inaweza kuingia katika mgogoro usio wa lazima na vyombo vya habari wakati huu nchi…

Continue Reading →

Tume ya uchaguzi yatakiwa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye BVR.
Permalink

Tume ya uchaguzi yatakiwa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye BVR.

Tume ya haki za binadamu na utawala bora imebaini kuwa maafisa na askari polisi wa…

Continue Reading →

Rais Kikwete amesema hatakubali misaada yenye masharti kuyumbisha nchi.
Permalink

Rais Kikwete amesema hatakubali misaada yenye masharti kuyumbisha nchi.

Rais Jakaya Kikwete amesema nchi yake haitakubali kuyumbishwa na wahisani ambao kila mara wamekuwa wakitishia…

Continue Reading →

Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.
Permalink

Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.

Agizo la rais Jakaya Kikwete kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua yaliyotwama kwenye…

Continue Reading →

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.
Permalink

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.

Maelfu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani wameanza mgomo…

Continue Reading →

Viongozi na watanzania watakiwa kuienzi amani iliyopo ili wasije ingiza nchi vitani.
Permalink

Viongozi na watanzania watakiwa kuienzi amani iliyopo ili wasije ingiza nchi vitani.

Viongozi wa Afrika wameaswa kuhakisha kuwa wanaweka mbali uchu wa madaraka ili wasiji kuzidumbukiza nchi…

Continue Reading →

Rais wa Msumbiji Mh.Nyussi amesema kamwe taifa lake haliwezi kusahau mchango wa Tanzania.
Permalink

Rais wa Msumbiji Mh.Nyussi amesema kamwe taifa lake haliwezi kusahau mchango wa Tanzania.

Rais wa Msumbiji Filipe Nyussi ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi amesema kamwe taifa…

Continue Reading →