Wanafunzi wa Darasa la Tatu na la Nne wanasomea nje chini ya miti Tabora.
Permalink

Wanafunzi wa Darasa la Tatu na la Nne wanasomea nje chini ya miti Tabora.

Wanafunzi wa Darasa la Tatu na la Nne katika Shule ya Msingi Msekela katika Kata…

Continue Reading →

Chadema yazindua vikundi vya ulinzi 200 kila jimbo Dar es Salaam.
Permalink

Chadema yazindua vikundi vya ulinzi 200 kila jimbo Dar es Salaam.

Chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema kimefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Kawe…

Continue Reading →

TFDA kushirikiana na viongozi wa mkoa wa DSM wamefanya ukaguzi katika machinjio manne ya Ng`ombe,
Permalink

TFDA kushirikiana na viongozi wa mkoa wa DSM wamefanya ukaguzi katika machinjio manne ya Ng`ombe,

Mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam…

Continue Reading →

CCBRT imesaidia kinamama wenye tatizo la Fistula chini ya elfu moja kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Permalink

CCBRT imesaidia kinamama wenye tatizo la Fistula chini ya elfu moja kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Licha ya kampeni ya kitaifa ya kuibua na kutoa tiba bure kwa kina mama wenye…

Continue Reading →

Watu wenye ulemavu wafunga barabara wakipinga kuvunjiwa meza zao za biashara.
Permalink

Watu wenye ulemavu wafunga barabara wakipinga kuvunjiwa meza zao za biashara.

Walemavu wanaofanya biashara katika soko la Karume Mchikichini wamelazimika kulala katika makutano ya barabara ya…

Continue Reading →

Miswada ya huduma za vyombo vya habari isiporekebishwa itazua migogoro.
Permalink

Miswada ya huduma za vyombo vya habari isiporekebishwa itazua migogoro.

Serikali inaweza kuingia katika mgogoro usio wa lazima na vyombo vya habari wakati huu nchi…

Continue Reading →

Tume ya uchaguzi yatakiwa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye BVR.
Permalink

Tume ya uchaguzi yatakiwa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye BVR.

Tume ya haki za binadamu na utawala bora imebaini kuwa maafisa na askari polisi wa…

Continue Reading →

Rais Kikwete amesema hatakubali misaada yenye masharti kuyumbisha nchi.
Permalink

Rais Kikwete amesema hatakubali misaada yenye masharti kuyumbisha nchi.

Rais Jakaya Kikwete amesema nchi yake haitakubali kuyumbishwa na wahisani ambao kila mara wamekuwa wakitishia…

Continue Reading →

Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.
Permalink

Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.

Agizo la rais Jakaya Kikwete kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua yaliyotwama kwenye…

Continue Reading →

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.
Permalink

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.

Maelfu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani wameanza mgomo…

Continue Reading →