Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.
Permalink

Agizo la Rais kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua eneo la Boko limeanza kutekelelezwa.

Agizo la rais Jakaya Kikwete kwa manispaa ya Kinondoni kuondoa maji ya mvua yaliyotwama kwenye…

Continue Reading →

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.
Permalink

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.

Maelfu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani wameanza mgomo…

Continue Reading →

Viongozi na watanzania watakiwa kuienzi amani iliyopo ili wasije ingiza nchi vitani.
Permalink

Viongozi na watanzania watakiwa kuienzi amani iliyopo ili wasije ingiza nchi vitani.

Viongozi wa Afrika wameaswa kuhakisha kuwa wanaweka mbali uchu wa madaraka ili wasiji kuzidumbukiza nchi…

Continue Reading →

Rais wa Msumbiji Mh.Nyussi amesema kamwe taifa lake haliwezi kusahau mchango wa Tanzania.
Permalink

Rais wa Msumbiji Mh.Nyussi amesema kamwe taifa lake haliwezi kusahau mchango wa Tanzania.

Rais wa Msumbiji Filipe Nyussi ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi amesema kamwe taifa…

Continue Reading →

Vyombo vya habari vyakabiliwa na changamoto za kudumisha demokrasia Africa Mashariki.
Permalink

Vyombo vya habari vyakabiliwa na changamoto za kudumisha demokrasia Africa Mashariki.

Vyombo vya Habari katika nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki licha ya umuhimu wake katika…

Continue Reading →

Dr Mengi amewahimiza vijana kujiamini kwamba wanaweza kufanya makubwa kwa manufaa yao na taifa.
Permalink

Dr Mengi amewahimiza vijana kujiamini kwamba wanaweza kufanya makubwa kwa manufaa yao na taifa.

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi amewahimiza vijana kujiamini kwamba wanaweza kufanya makubwa kwa…

Continue Reading →

Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mara wamejitokeza katika mazishi ya John Guido Nyerere.
Permalink

Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mara wamejitokeza katika mazishi ya John Guido Nyerere.

Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mara na mikoa jirani wamejitokeza katika mazishi ya mtoto…

Continue Reading →

Mvua zinazoendelea jijini Dar es Salaam zimesababisha hali ya hofu katika baadhi ya maeneo.
Permalink

Mvua zinazoendelea jijini Dar es Salaam zimesababisha hali ya hofu katika baadhi ya maeneo.

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha hali ya hofu katika baadhi ya maeneo…

Continue Reading →

Wakuu wa nchi za jumuia ya Afrika Mashariki walaani kupinduliwa serikali ya Nkurunziza Burundi.
Permalink

Wakuu wa nchi za jumuia ya Afrika Mashariki walaani kupinduliwa serikali ya Nkurunziza Burundi.

Wakuu wa nchi za jumuiya ya afrika mashirika wamelaani jaribio la mapinduzi yaliyotaka kufanyika nchini…

Continue Reading →

Mh. Chauvieav wa Burundi amesema wataendelea kufanya maandamano katika mitaa yote ya nchi hiyo.
Permalink

Mh. Chauvieav wa Burundi amesema wataendelea kufanya maandamano katika mitaa yote ya nchi hiyo.

Makamu mwenyekiti wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Burundi Mugwengezo Chauvieav amesema kamwe wataendelea…

Continue Reading →