Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam lakamata vipande 156 vya meno Tembo Temeke DSM.
Permalink

Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam lakamata vipande 156 vya meno Tembo Temeke DSM.

Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata vipande 156 vya meno ya…

Continue Reading →

Rais Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya RAHCO Mhandisi Benhadard Tito.
Permalink

Rais Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya RAHCO Mhandisi Benhadard Tito.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu…

Continue Reading →

Serikali yasitisha bomoabomoa kwa siku 14 kuwapa mda wa kuhama watu wanaoishi bonde la Mkwajuni.
Permalink

Serikali yasitisha bomoabomoa kwa siku 14 kuwapa mda wa kuhama watu wanaoishi bonde la Mkwajuni.

Serikali imesitisha zoezi la bomoabomoa kwa muda wa siku 14 ili kuwapa muda wa kutosha…

Continue Reading →

Rais Dkt John Pombe Magufuli akutana na makamu wa kwanza wa rais Zanzibar Maalim Seif.
Permalink

Rais Dkt John Pombe Magufuli akutana na makamu wa kwanza wa rais Zanzibar Maalim Seif.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo juu…

Continue Reading →

Jeshi la Polisi nchini lajipanga kuzuia dawa za kulenya.
Permalink

Jeshi la Polisi nchini lajipanga kuzuia dawa za kulenya.

Jeshi la Polisi nchini limesema limejipanga vema kuhakikisha hakuna dawa za kulevya zozote zitakazopitishwa na…

Continue Reading →

Shirika la umeme Tanesco limewasimamisha kazi maafisa wake 10 kutoka vitengo vya uasibu na ufundi.
Permalink

Shirika la umeme Tanesco limewasimamisha kazi maafisa wake 10 kutoka vitengo vya uasibu na ufundi.

Shirika la umeme nchini Tanesco limesimamisha kazi maafisa wake kumi kutoka vitengo vya uhasibu na…

Continue Reading →

Kaya zaidi ya 250 bonde la Mkwajuni hawana makazi ya kuishi kufuatia bomobomoa inayoendelea.
Permalink

Kaya zaidi ya 250 bonde la Mkwajuni hawana makazi ya kuishi kufuatia bomobomoa inayoendelea.

Zaidi ya kaya 250 za bonde la Mkwajuni jijini Dar es Salaam hazina makazi ya…

Continue Reading →

Serikali yawataadharisha wanaotumia mawasiliao ya simu za mkononi  kuvuruga amani.
Permalink

Serikali yawataadharisha wanaotumia mawasiliao ya simu za mkononi kuvuruga amani.

Serikali imewataadharisa watu wanaotumia mawasiliano ya simu za mkoni kuvuruga amani, kuchochea ugomvi, kuingilia faragha…

Continue Reading →

Vigogo 3 wa TRA wameachiwa kwa dhamana iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania.
Permalink

Vigogo 3 wa TRA wameachiwa kwa dhamana iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania.

Hatimaye vigogo watatu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) akiwemo kamishna wa forodha na ushuru…

Continue Reading →

Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni Kinondoni wabomolewa nyumba zao.
Permalink

Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni Kinondoni wabomolewa nyumba zao.

Vilio simanzi na majonzi vimetawala katika eneo la bonde la Mkwajuni jijini Dar es Salaam…

Continue Reading →