Wakandarasi wapiga marufuku magari yenye uzito wa juu daraja la kigamboni
Permalink

Wakandarasi wapiga marufuku magari yenye uzito wa juu daraja la kigamboni

Mkandarasi wa kampuni ya China Railways Construction Engineering Group inayotekeleza mradi wa ujenzi wa daraja…

Continue Reading →

TFDA yakamata zaidi ya tani 12 ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kutumika nchini.
Permalink

TFDA yakamata zaidi ya tani 12 ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kutumika nchini.

Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imekamata zaidi ya tani kumi na mbili ya vipodozi…

Continue Reading →

Kambi ya upinzani Bungeni yakataa kuwasilisha hotuba na kutoshiriki mjadala wa bajeti.
Permalink

Kambi ya upinzani Bungeni yakataa kuwasilisha hotuba na kutoshiriki mjadala wa bajeti.

Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni amekataa kuwasilisha hotuba ya kambi ya upinzani Bungeni pamoja…

Continue Reading →

Idara ya Uhamiaji Shinyanga imekamata wahamiaji haramu 19 katika maeneo tofauti.
Permalink

Idara ya Uhamiaji Shinyanga imekamata wahamiaji haramu 19 katika maeneo tofauti.

Idara ya Uhamiaji mkoani Shinyanga imewakamata wahamiaji mharamu 19 katika maeneo tofauti wilayani Kahama ambapo…

Continue Reading →

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi ampongeza rais magufuli kwa kutoa elimu bure.
Permalink

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi ampongeza rais magufuli kwa kutoa elimu bure.

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi amezitoa pongezi hizo mkoani Kilimanjaro wakati wa mahafali ya…

Continue Reading →

Nchi za Afrika zimetakiwa kujenga demokrasia yenye kuleta usawa, haki na misingi kwa wananchi.
Permalink

Nchi za Afrika zimetakiwa kujenga demokrasia yenye kuleta usawa, haki na misingi kwa wananchi.

Makamu wa Rais Mh Samia Hassani Suluhu amesema nchi za afrika lazima zijijenge kama demokrasia…

Continue Reading →

Rais Magufuli asikitishwa na taasisi za haki za binadamu zinazokosoa kasi ya utumbuaji majipu.
Permalink

Rais Magufuli asikitishwa na taasisi za haki za binadamu zinazokosoa kasi ya utumbuaji majipu.

Rais Dkt John Pombe Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya taasisi za haki za…

Continue Reading →

Wabunge wa Afrika Mashariki wavutiwa na urushaji matangazo wa kituo cha ITV.
Permalink

Wabunge wa Afrika Mashariki wavutiwa na urushaji matangazo wa kituo cha ITV.

Wabunge wa Afrika Mashariki wamepongeza uwekezaji wa vifaa vya kisasa na Teknolojia uliofanywa katika vyombo…

Continue Reading →

Watu 2 wamefariki dunia baada ya gari yao kutumbukia ndani ya bahari ya Hindi.
Permalink

Watu 2 wamefariki dunia baada ya gari yao kutumbukia ndani ya bahari ya Hindi.

Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakitumia kudumbukia ndani ya bahari ya Hindi…

Continue Reading →

Mvua zinazonyesha zaongeza maji bwawa la kidatu hali inayotishia kuharibika kwa miundombinu.
Permalink

Mvua zinazonyesha zaongeza maji bwawa la kidatu hali inayotishia kuharibika kwa miundombinu.

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kuongezeka kwa maji kupita kiasi katika bwawa la kufua umeme la…

Continue Reading →