Wapinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo.
Permalink

Wapinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo.

Wabunge wa kambi ya upinzani bungeni leo wameamua kutumia mtindo mpya wa kuziba midomo yao…

Continue Reading →

Watu 3 wamepoteza maisha na 2 kunusurika baada ya kula Mihogo yenye sumu Morogoro.
Permalink

Watu 3 wamepoteza maisha na 2 kunusurika baada ya kula Mihogo yenye sumu Morogoro.

Katika hali ya kusikitisha watu watatu wakazi wa kijiji cha Kauzeni wilaya ya Mvomero mkoani…

Continue Reading →

Ugonjwa usiojulikana waua watu 7 na 21 kulazwa mkoani Dodoma.
Permalink

Ugonjwa usiojulikana waua watu 7 na 21 kulazwa mkoani Dodoma.

Serikali imetoa ufafanuzi kufuatia watu saba kufariki na wengine 21 kulazwa kutokana na kuibuka kwa…

Continue Reading →

Japani yasema itaendelea kuisadia Tanzania katika sekta ya Kilimo.
Permalink

Japani yasema itaendelea kuisadia Tanzania katika sekta ya Kilimo.

Balozi wa Japani nchini Tanzania Masaharu Yoshinda amesema Japani imedhamiria kuisadia Tanzania katika kuboresha Kilimo…

Continue Reading →

Jukwaa huru la Wazalendo lalaani nguvu iliyotumiwa na Polisi kutawanya wanafunzi wa UDOM.
Permalink

Jukwaa huru la Wazalendo lalaani nguvu iliyotumiwa na Polisi kutawanya wanafunzi wa UDOM.

Jukwaa huru la wazalendo Tanzania limelaani vikali nguvu kubwa iliyotumiwa na Jeshi la Polisi mkoani…

Continue Reading →

Olemedei atangazwa rasmi kuwa Kaimu katibu mkuu wa chama cha UDP.
Permalink

Olemedei atangazwa rasmi kuwa Kaimu katibu mkuu wa chama cha UDP.

Chama cha Demokratic Party-UDP kimemtangaza rasmi Dk. Goodluck Olemedei kushika nafasi ya kaimu katibu mkuu…

Continue Reading →

Wananchi wa kata ya kilema mkoani Kilimanjaro wamkataa Afisa mtendaji wa kata hiyo.
Permalink

Wananchi wa kata ya kilema mkoani Kilimanjaro wamkataa Afisa mtendaji wa kata hiyo.

Wananchi wa kata ya Kilema Kusini katika mji mdogo wa Himo wilaya ya Moshi mkoani…

Continue Reading →

Mtu 1 anayesadikiwa kuwa ni jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mkoani Tanga.
Permalink

Mtu 1 anayesadikiwa kuwa ni jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mkoani Tanga.

Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi sugu Benjamini Wallace Singano aliyekuwa na silaha ya kivita…

Continue Reading →

Polisi yawasambaratisha wanafunzi wa UDOM ambao ni wanachama wa CHADEMA waliokuwa kwenye mahafali.
Permalink

Polisi yawasambaratisha wanafunzi wa UDOM ambao ni wanachama wa CHADEMA waliokuwa kwenye mahafali.

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limesambaratisha mahafali ya wanachama wa umoja wa wanafunzi wa…

Continue Reading →

Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija Shinyanga kimeanza kupata misaada.
Permalink

Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija Shinyanga kimeanza kupata misaada.

Kufuatia taarifa na vipindi vilivyorushwa na ITV vikionyesha changamoto zinazokikabili kituo kinacholea watoto wenye ulemavu…

Continue Reading →