Kamati ya Bunge yasema kodi za majengo zinazokusanywa na TRA zitaathiri miradi ya maendeleo.
Permalink

Kamati ya Bunge yasema kodi za majengo zinazokusanywa na TRA zitaathiri miradi ya maendeleo.

Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala na serikali za mitaa imesema mapendekezo ya bajeti…

Continue Reading →

Waziri wa afya amewaagiza Waganga Wakuu kupunguza idadi ya vifo vya mama wajawazito na watoto.
Permalink

Waziri wa afya amewaagiza Waganga Wakuu kupunguza idadi ya vifo vya mama wajawazito na watoto.

Mh. Mwalimu ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa kimataifa uliowahusisha Watalaamu mbalimbali wa sekta ya…

Continue Reading →

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu CHADEMA mkoani Singida Mhe. Christina Mughwai azikwa.
Permalink

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu CHADEMA mkoani Singida Mhe. Christina Mughwai azikwa.

Maelfu ya wananchi wa jimbo la Singida Mashariki wakiwemo viongozi wa Chama Cha Demokrasia na…

Continue Reading →

Waziri mkuu Mhe.Majaliwa amuagiza RC Lindi kufuatilia mradi wa umwagiliaji Kiwalala.
Permalink

Waziri mkuu Mhe.Majaliwa amuagiza RC Lindi kufuatilia mradi wa umwagiliaji Kiwalala.

WaziriMkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa…

Continue Reading →

Jeshi la Polisi lapewa siku 3 kuwasilisha vielelezo vya mkataba na Lugumi Enterprise.
Permalink

Jeshi la Polisi lapewa siku 3 kuwasilisha vielelezo vya mkataba na Lugumi Enterprise.

Sakata la mkataba kati ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprise limeingia katika…

Continue Reading →

Serikali kuwainua wanawake nchini.
Permalink

Serikali kuwainua wanawake nchini.

Imeelezwa kuwa wanawake waliopata fursa za uongozi ndani na nje ya serikali, wananafasi kubwa ya…

Continue Reading →

Maiti ya Bi Janeth Theodori yazikwa kimakosa kwa jina la Amina Upareni Kilimanjaro.
Permalink

Maiti ya Bi Janeth Theodori yazikwa kimakosa kwa jina la Amina Upareni Kilimanjaro.

Kumetokea mkanganyiko wa utoaji wa maiti katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Taifa…

Continue Reading →

Serikali yawataka wananchi kusimamia rasilimali za nchi ikiwemo Gesi na Mafuta ipasavyo.
Permalink

Serikali yawataka wananchi kusimamia rasilimali za nchi ikiwemo Gesi na Mafuta ipasavyo.

Serikali imewataka wananchi kuhakikisha wanasimamia rasilimali za nchi ikiwemo Gesi na Mafuta ipasavyo kwa uwazi…

Continue Reading →

Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne kilango Malecela kuanzia leo.
Permalink

Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne kilango Malecela kuanzia leo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa…

Continue Reading →

Tanzania yaongoza kwa uzalishaji wa ufuta barani Afrika.
Permalink

Tanzania yaongoza kwa uzalishaji wa ufuta barani Afrika.

Tanzania imetajwa kuongoza barani Afrika katika uzalishaji wa zao la ufuta,huku ikiwa ya tatu duniani…

Continue Reading →