Zoezi la uchukuaji fomu za urais laanza rasmi mjini Dodoma kwa wagombea wa CCM.
Permalink

Zoezi la uchukuaji fomu za urais laanza rasmi mjini Dodoma kwa wagombea wa CCM.

Zoezi la uchukuaji fomu za kuwania urais wa jamhuri ya mungano kwa awamu ya tano…

Continue Reading →

Dereva wa roli asababisha ajali kwa kukatiza reli wakati Treni inapita.
Permalink

Dereva wa roli asababisha ajali kwa kukatiza reli wakati Treni inapita.

Ubishi wa madereva wapitao barabara inayokatisha reli nusura leo igharimu maisha ya watu baada ya…

Continue Reading →

Waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye atangaza nia yakuwania urais kupitia CCM.
Permalink

Waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye atangaza nia yakuwania urais kupitia CCM.

Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Fredericky Sumaye ametangaza nia ya kugombea nafasi…

Continue Reading →

Serikali yalaumiwa kwa kupitisha sheria zenye kuua uhuru wa vyombo vya habari.
Permalink

Serikali yalaumiwa kwa kupitisha sheria zenye kuua uhuru wa vyombo vya habari.

Kambi ya upinzani bungeni imeijua juu serikali kwa kitendo chake cha kushinikiza na kutumia ubabe…

Continue Reading →

Nchi za Afrika zatakiwa kuweka sera shirikishi na wezeshi ili kuwezesha watu wake kumiliki uchumi.
Permalink

Nchi za Afrika zatakiwa kuweka sera shirikishi na wezeshi ili kuwezesha watu wake kumiliki uchumi.

Nchi za Afrika zinaweza kuwa na uchumi mkubwa duniani iwapo kwa maksudi zitatunga sera rafiki…

Continue Reading →

Kampeni ya zuia ajali sasa yazinduliwa huku abiria wakitakiwa kutoa taarifa kwa namba maalum.
Permalink

Kampeni ya zuia ajali sasa yazinduliwa huku abiria wakitakiwa kutoa taarifa kwa namba maalum.

Kutokana na wimbi la ajali za barabarani linalosababisha vifo vya mamia ya watu na maelfu…

Continue Reading →

Vijana watakiwa kujiamini na kweka juhudi ili wajikwamue kiuchumi.
Permalink

Vijana watakiwa kujiamini na kweka juhudi ili wajikwamue kiuchumi.

Vijana nchini wamehamasishwa wajiamini kuwa kwa juhudi zao wanaweza kujikwamua kiuchumi na hasa kama serikali…

Continue Reading →

MOAT imeunda kamati maalum ya kuwashawishi wabunge wasiupitishie mswada wa sharia.
Permalink

MOAT imeunda kamati maalum ya kuwashawishi wabunge wasiupitishie mswada wa sharia.

Chama cha wamiliki wa vyombo vya habari nchini -MOAT kimeunda kamati maalum ya kuwashawishi wabunge…

Continue Reading →

Dr Bilal amesema njia ya kupambana na rushwa nchini ni kuziwezesha asasi za kiraia.
Permalink

Dr Bilal amesema njia ya kupambana na rushwa nchini ni kuziwezesha asasi za kiraia.

Makamu wa rais Dr Mohammed Gharibu bilal amesema njia pekee ya kupambana na rushwa nchini…

Continue Reading →

Majibu ya msemaji wa ikulu yamwongezea hofu mwenyekiti mtendaji wa IPP.
Permalink

Majibu ya msemaji wa ikulu yamwongezea hofu mwenyekiti mtendaji wa IPP.

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi amesema bado anahofia usalama wa maisha yake kutokana…

Continue Reading →