Share

CCK: Fikra za watu haziwezi kufunikwa

Share This:

Katibu wa Chama Cha Kijamii (CCK) Renatus Muhabi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vilivyosajiliwa visivyokuwa na uwakilishi Bungeni, amesema lipo ombwe la sera ya chi ikiwa ni pamoja na hofu kwenye utendaji wa Serikali ya awamu ya tano

Posted In:

Leave a Comment