Share

CCM wajadili muswada wa sheria ya vyama vya Siasa

Share This:

Chama tawala nchini Tanzania CCM kimesema muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa unaotarajiwa kusomwa bungeni hivi karibuni umelenga kuviimarisha vyama vya siasa na si kuvidhoofisha kama ambavyo wengine wameutafsiri Muswada huo. Kurunzi 16.01.2019

Leave a Comment