Share

CCM Yaibua Mapya Sakata la Nyalandu

Share This:

Ofisi ya spika wa bunge la Tanzania imekiri kupokea barua kutoka kwa katibu mkuu wa CCM ikimharifu kuwa Mh Lazaro Nyalandu amefukuzwa uanachama ndani ya chama hicho

Leave a Comment