Share

CCM Yawasilisha Kwa Spika Barua Ya Kumfukuza Uanachama Mbunge Lazaro Nyalandu

Share This:

Ofisi ya spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania imesema haijapokea barua ya kujiuzulu kwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu bali imepokea barua kutoka kwa Chama cha mapinduzi CCM ikimuarifu chama hicho kumchukulia hatua za kinidhamu na kumfukuza uanachama mbunge huyo.

Leave a Comment