Share

CCM yazungumzia kuwapitisha Madiwani wa CHADEMA kugombea udiwani

Share This:

Chama cha mapinduzi CCM kimezungumzia kuhusu suala la Madiwani waliohama CHADEMA na kuhamia CCM na kusema kwamba Kamati kuu ya mkoa ndio itakayozungumzia suala hilo katika mchujo wa mwisho wa wagombea

Leave a Comment