Share

Chakula ambacho wachezaji wa Serengeti Boys hawaruhusiwi kula

Share This:

AyoTV ilipata nafasi ya kukutana na moja kati ya madaktari wa timu hiyo ambao wanahusika na kusimamia afya za wachezaji wa Serengeti Boys, wachezaji wa Serengeti Boys kuna aina ya vyakula ambavyo madaktari wao wamevikataza wasivitumie hususani kipindi hichi cha mashindano.

Leave a Comment