Share

Chama Cha Riadha Chakumbwa Na Ukata

Share This:

Katibu mkuu wa shirikisho la raiadha hapa nchini Wilhelm Gidabudai amesema kufuatia ukata wa fedha wanaokabiliana nao katika shiriikisho hilo wameamua kuahirisha mashindano ya taifa ya riadha hadi hapo yatakapo tangazwa tena.

Leave a Comment