Share

Chama cha SPD chatangaza mawaziri

Share This:

Nchini Ujerumani Chama cha Social Democratic SPD leo kimetangaza watakaokuwa mawaziri wake katika serikali ya mseto nchini humo. Tangazo hilo limetolewa na kiongozi wa chama hicho Andrea Nahles

Leave a Comment