Share

Chama tawala Burundi kina uhakika wa kushinda

Share This:

Chama tawala nchini Burundi cha CNDD FDD kimesema kina uhakika kitashinda katika kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba itakaofanyika kesho. Papo kwa Papo 16.05.2018

Leave a Comment