Share

Chanjo ya Ebola yaanza kutolewa DRC

Share This:

Wizara ya afya nchini Jamhuri wa kidemokrasia ya Kongo imezindua kampeni ya chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola siku ya jumatano, ikiwa na matumaini ya kudhibiti mripuko wa virusi vya ugonjwa huo. Papo kwa Papo 09.08.2018.

Leave a Comment