Share

Charlotte Maxeke, alipinga ubaguzi wa rangi Afrika Kusini

Share This:

Charlotte Maxeke alikuwa mwanamke wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini kuhitimu chuo kikuu. Aliwaongoza wanawake katika maandamano dhidi ya matabaka. Baadae alianzisha chama cha kwanza cha wanawake nchini Afrika Kusini.

Leave a Comment