Share

Chipukizi anayetabiriwa kuja kuwafunika Vanessa Mdee na Maua Sama

Share This:

Frankie Maston ni msanii mpya kwenye muziki wa Bongo Flava, ambaye anaweza kufika mbali kwa kuwafunika mastaa wengi akiwemo Vanessa Mdee na Maua Sama. Lakini pia muimbaji huyo anajihusisha na tasnia ya ubunifu wa mavazi akiwa tayari ameshawavalisha mastaa kibao akiwemo Jokate, Nay Wamitego na wengine.

Leave a Comment