Share

Chuki ya mtandaoni inapozidi na kuingia ulimwengu wa kweli

Share This:

Matamshi ya chuki kwenye mitandao ya kijamii ni tatizo kubwa Sudan Kusini. Kundi linalojiita “Kataa Chuki Sasa” linataka kuonyesha hii chuki ya mitandaoni inaweza kupindukia na kuingia katika ulimwengu wa kweli – ukiwa na madhara makubwa.

Leave a Comment