Share

Clinic ya zaidi ya Tsh milioni 50 waliyowekewa Serengeti Boys hotelini kwao Gabon

Share This:

Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys bado ipo Libreville Gabon kwa ajili ya michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys wapo Kundi B lenye timu za Angola, Mali na Niger. Shirikisho la soka barani Afrika CAF limeonesha kujali maisha ya timu hizo za vijana na kuingia gharama za kuwagharamia kama wanavyofanya kwa timu za taifa za wa kubwa, CAF kuhakikisha usalama wa afya za wachezaji, katika timu zote nane shiriki zimewekewa clinic ya muda katika hoteli iliyofikia.

Leave a Comment