Share

CORONA: Jamaa anayepambana na COVID-19 kutumia fasheni Kibera

Share This:

Katika mtaa wa Kibera jijini Nairobi Kenya, mwanamitindo wa mavazi David Ochieng’ anapambana na virusi vya corona kwa kushona barakoa zinazopendeza kisha kuzigawa kwa wakaazi wa mtaa huo bila malipo, ili wajikinge dhidi ya janga la COVID-19 na pia kuelimisha kuhusu umuhimu wa barakoa. #VijanaMubashara #77Asilimia #COVID-19 #Virusivyacorona

Leave a Comment