Share

Cyril Ramaphosa aukosoa uongozi wa Rais Zuma

Share This:

Makamu w arais wa AFrika Kusini Cyril Ramaphosa awaambia wafuasi wake kuwa uongozi mbaya umeigharimu ANC na uchumi wa nchi. Amewataka wafuasi wake kubadilisha hali hiyo katika uchaguzi wa chama. Watu 61 wameuawa nchini Syria kufuatia mashambulizi ya angani. Viongozi wa Afrika wataka msaada kujiimarisha kiulinzi badala ya kutegemea nchi za Magharibi. Papo kwa Papo 14.11.2017

Leave a Comment