Share

Dalali mwingine azungumza asema Diamond kapangisha hajanunua mjengo

Share This:

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Billioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema kwamba Diamond hajanunua bali amepangisha.

Msikilize hapa akielezea

Leave a Comment