Share

DAR SIO YA MCHEZOMCHEZO!! magari ya zamani yaonyeshwa

Share This:

Inawezekana upo Dar es salaam na kila siku unapita barabarani lakini hukutani na magari ya zamani ila kukusaidia tu ni kwamba bado yapo tena kuna watu wameya-pimp vizuri.

AyoTV imekukusanyia details zote kutoka kwenye hayo maonyesho na magari yote mpaya mengine yaliyoletwa Tanzania hata kabla ya uhuru….. USISAHAU KUNIAMBIA IPI IMEKUVUTIA

Leave a Comment