Share

Daraja Labomoka Miezi Mitatu Baada Ya Kukamilika

Share This:

Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Joseph Kakunda ameeleza kusikitishwa na matumizi mabaya ya shilingi milioni 70 zilizo tumika katika ujenzi wa daraja la Idiwili mkoani Mbeya ambalo lililobomoka miezi mitatu tuu baada ya kukamilika.

Leave a Comment