Share

Darassa akerwa na suala la warembo wale wale kujirudia kwenye video za Kibongo

Share This:

Kuna kasumba ya kuigana na kufanana kwa vitu inaendelea kwenye video za muziki za Kibongo. Tumewahi kuandika Makala kuhusu video nyingi kuwa na moshi na baruti.

Jumatatu hii Babutale alizungumzia kuhusu waongozaji kutumia location na magari yale yale kwenye video wanazofanya. Lakini pia kubwa lililopo sasa ni warembo wanaotumika kwenye video kuwa wale wale? Kwanini? Kwenye teaser ya mahojiano ya kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir kitakachoruka Alhamis hii kupitia EATV, hitmaker wa Muziki, Darassa amezungumzia suala hilo.

Leave a Comment