Share

DC Dodoma awageukia Waziri Mwakyembe na Shonza, “badala ya kunihonga wape hawa”

Share This:

November 9, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa tuzo za kutambua thamani ya muziki, filamu na habari katika mkoa huo zinazofahamika kwa jina la NYAMBAGO ambapo katika hotuba yake Katambi alitumia nafasi hiyo kutuma ujumbe wake kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu wake Juliana Shonza kuona namna ya kuwasaidia vijana katika mkoa wa Dodoma.

Leave a Comment