Share

DC Jokate mpatia nyumba mama wa watoto waliyoungana maini

Share This:

DC Jokate mpatia nyumba mama wa watoto waliyoungana mainiMkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh, Jokate Mwegelo amemsaidia mama aliyejifungua watoto mapacha waliyo ungana maini kupata bima ya afya na nyumba bora ya kuishi kutoka UBA United Bank for Africa hii inakuja mara baada ya mama huyo pamoja na watoto wake kupata ruksa ya kurejea nyumbani kwao Kisarawe.

Leave a Comment