Share

DC wa Kigamboni Sarah azungumza na viongozi wa dini uchaguzi serikali za mitaa

Share This:

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri wiki hii amefanya mkutano na viongozi wa dini wilayani humo na kuzungumza nao kuhusu uchaguzi ujao wa serikali za mitaa pamoja pamoja na kuwataka kuubiri amani.

Leave a Comment