Share

DC wa Pangani kataja sifa za mwanaume anayetamani kuolewa naye

Share This:

Zainab Abdallah, mkuu wa wilaya ya Pangani ambae pia ndio mkuu wa wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania kwa sasa anamiaka 23 na hajaolewa bado lakini kuna sifa za mwanaume anatamani kuolewa nae

Leave a Comment