Share

Densi ya watetezi wa wanawake iliyopata umaarufu mkubwa ulimwenguni.

Share This:

Dhuluma za kingono duniani dhidi ya wanawake limekuwa jambo linalo kemewa sana ulimwenguni. Lakini wanawake hawa wamekuja na njia yao ya kipekee kukomesha dhuluma hizo.

Leave a Comment