Share

Dereva Tax apandishwa kizimbani kwa uhujumu uchumi.

Share This:

Dereva Tax, Msafiri Msayi amepandishwa katika Mahakama ya Hamkimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya shilingi milioni 41 huku mahakama hiyo ikitoa hati ya kukamatwa kwa mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo raia wa Jamhuri ya Moldova.

Leave a Comment