Share

“Dereva uwe unasali au unaswali kwanza”.Rais Magufuli

Share This:

Rais Dkt.John Magufuli amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya usafiri wa abiria kuzingatia sheria na taratibu za usalama wa barabarani wakati wote wa safari zao.

#ITVTANZANIA

Leave a Comment