Share

Dereva wa teksi anayetoa huduma ya bila malipo kwa wajawazito

Share This:

Dereva huyu wa teksi katika mji wa Addis Ababa nchini Ethiopia anawahudumia bila malipo waja wazito wanaotaka kupelekwa hospitalini kujifungua au kupimwa. Ukarimu huo umempa sifa na umaarufu miongoni mwa watu. Lakini je ni nini ilimsababisha kuanza kutoa huduma hiyo? Tazama vidio ujue mengi. #VijanaMubashara #77Asilimia

Leave a Comment