Share

Diamond alivyowashinda Davido, Wizkid na 2face tuzo za Sound City MVP Nigeria

Share This:

Usiku wa January 12 kuamkia 13 2018 Lagos Nigeria zilifanyika tuzo za Sound City MVP 2017 Eko Hotel and Suite jijini Lagos na wasanii mbalimbali walifanikiwa kutangazwa washindi na jumla ya tuzo 14 zilitolewa katika event hiyo, Muimbaji wa Bongofleva na CEO wa WCB Diamond Platnumz amefanikiwa kutangazwa mshindi wa tuzo ya (Best Male MVP 2017), tuzo hiyo Diamond alikuwa akiwania na wasanii wengine nane Davido (NG), Runtown (NG), Sarkodie (GH), Navio (UG), 2face Idibia (NG), Wizkid (NG), Shatta Wale (GH) na Olamide (NG).

Leave a Comment