Share

DIAMOND: “NAFARIJIKA UMETABASAMU, NITAFURAHI KUSIKIA WAZO LA BIASHARA NIKUWEZESHE”

Share This:

Ifahamu hali ya Hawa kutokea nchini India ambapo kwa sasa hali yake imeimarika zaidi tokea apelekwe nchini humo wiki kadhaa zilizopita kwa ajili ya kufanyiwa operation kubwa ya moyo.

Leave a Comment