Share

Diego Costa Avalia Jezi Ya Atletico Madrid

Share This:

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa amepiga picha akiwa amevaa jezi ya klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid baada ya kocha Antonio Conte kumuambia hamuhitaji katika kikosi chake.

Leave a Comment