Share

Ditto aelezea kutajwa kimakosa kwenye orodha ya Makonda kulivyomgharimu

Share This:

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anataja majina ya watu wanaohusishwa na biashara na matumuzi ya madawa ya kulevya, alitaja kimakosa jina ‘Dito’ badala ya ‘Tito’ na hivyo kumpa wakati mgumu Lameck Ditto ambaye watu wengi walidhani ni yeye. Anasema hiyo imemletea madhara makubwa ambayo licha ya kufafanua bado anayaona

Leave a Comment