Share

Diva ataja sifa za mwanaume anayeweza kumpa utamu wake

Share This:

Je unatamani kudate na mtazajhi wa kipidi cha Ala Za Roho kutoka Clouds FM, Diva The Bawse? Basi kama unataka bahati hiyo ikuangukie wewe mrembo huyo ameviweka wazi vigezo ambavyo anavitaka kwa mwanaume ambaye atakuwa naye.

Leave a Comment