Share

Diva atia neno penzi la Ben Pol na Ebitoke

Share This:

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm, Diva amezungumzia uhusiano wa msanii wa Bongo Flava, Ben Pol na mchekeshaji Ebitoke, huku akidai haijui ngoma mpya ya msanii huyo ‘Tatu’.

Leave a Comment