Share

Dj Puffy katua DSM, afunguka ishu ya kushare stage moja na Rihanna

Share This:

Kutana na Dj Puffy kutokea Barbados ambaye ametua Tanzania kwenye jiji la Dar Es Salaam kupitia Exclusive interview na Ayo Tv amefunguka kuhusiana na kushare stage moja na Rihanna, Rick Ross na pia kutamani kufanya kazi sawa na Dj maarufu nchini Marekani Dj Khaled, DJ Puffy licha ya kushare stage moja na muimbaji maarufu Duniani Rihanna pia wote wanatokea sehemu moja katika kisiwa cha Barbados, sehemu ambayo ndio asili ya msanii Rihanna, Bonyeza PLAY hapa kusikiliza alichozungumza mwanzo mwisho na AyoTV.

Leave a Comment